1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaharakati wa mazingira mbioni kuhifadhi msitu wa Aberdare Kenya

04:51

This browser does not support the video element.

25 Machi 2024

Muungano wa wahifadhi wa mazingira nchini Kenya unaowakilisha mashirika 73 wamewasilisha ombi kwa mahakama ya kitaifa ya mazingira kusitisha mradi wa ujenzi wa barabara kuu ya Ndunyu Njeru – Ihithe itakayopita katikati ya msitu na mbuga ya wanyama pori ya Aberdare, wakihoji kwamba madhara itakayosababisha kwa mfumo wa ikolojia, inapita faida zozote zinazowezekana.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW