1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umaarufu wa mitindo ya rasta za Wamasaai

02:57

This browser does not support the video element.

12 Aprili 2024

Mitindo ya Rasta kama vile dreadlocks na twists ni maarufu sana miongoni mwa wanawake katika maeneo mengi ya Afrika Mashariki. Hata hivyo, kusuka kwa ustadi na wanaume wa Kimasaai kumekuwa na mvuto wa pekee kwa baadhi ya wanawake hao. Hii imepelekea baadhi yao kuacha saluni za kawaida mtaani kwao na badala yake kwenda kwa wanaume wa Kimasaai kutafuta huduma hizo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW