1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MuzikiKenya

Tasnia ya densi katika mtazamo mpya Nakuru, Kenya

02:37

This browser does not support the video element.

28 Juni 2023

Wanawake hawa wanne kaunti ya Nakuru wameamua kuleta mtazamo mpya katika tasnia ya densi, ambayo sasa imefungua ajira kwa kundi kubwa la watu ikiwemo vijana. Miongoni mwa malengo yao ni kuwa na kundi imara la wacheza densi ambalo litahusisha wanawake na kutoa fursa kwa wasichana katika mnyororo wa thamani kwenye tasnia hiyo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW