1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaJamhuri ya Kongo

Maandamano ya kupinga ukosefu wa usalama yafanyika Goma

03:06

This browser does not support the video element.

19 Februari 2024

Maandamano ya kuishinikiza serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuimarisha usalama Mashariki mwa nchi hiyo yamefanyika mjini Goma. Wengi wa waandamanaji wanaitaka Rwanda iache kuwaunga mkono waasi wa M23 madai ambayo Rwanda imeedelea kuyakanusha. Usalama mdogo katika eneo hilo umesababisha baadhi ya wakaazi wa Goma kuanza kuondoka kwenye mji huo.