1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTanzania

Aziza Nassib, mjasiriamali anayechakata plastiki

04:02

This browser does not support the video element.

Deo Kaji Makomba
19 Aprili 2023

Kurunzi Wanawake leo inamuangazia Aziza Nassib, mjasiriamali kutoka Dodoma Tanzania ambaye licha ya hofu ya kuonekana kichaa, ameamua kuokota makopo na chupa za plastiki ambazo anazichakata na kuzifanya mali ghafi. Unapoishi mjini, lazima uisumbue akili ili ujipatie kipato cha halali, ndivyo anavyofanya bi Aziza.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW